SHAMBA
LINAUZWA
SHAMBA LINAUZWA LINA UKUBWA WA EKARI 400, LINA HATI MILIKI,
LIPO SIMANJIRO, NI UMBALI WA MASAA MATATU (3) KUTOKA ARUSHA MJINI.
LINAFAA KWA KILIMO NA LINA RUTUBA YA KUTOSHA.
BEI:
1.
KAMA UKILITAKA KWA JUMLA BEI NI MAELEWANO.
2.
UKITAKA EKA MOJA AU ZAIDI UTAPIMIWA KWA SHILINGI
LAKI TANO KWA KILA EKA MOJA,
(TSH. 500,000/=)
MAWASILIANO:
PIGA NAMBA HIZI KWA MAWASILIANO: 0755
957997 AU 0755 524993
0 comments:
Post a Comment