Sunday, 19 April 2015

WANAHITAJIKA VIJANA 19 KUJAZA NAFASI ZIFUATAZO ZA AJIRA SERIKALINI: (Wilaya ya Busega)

By on April 19, 2015

HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSEGA

TANGAZO LA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega kuomba nafasi zifuatazo:-

1. MAAFISA WATENDAJL WA VLJIJI III - NAFASI 10

Sifa
• Awe na Elimu ya kidato cha IV au VI
• Awe na AstashahadalCheti katika moja ya fani zifuatazo Utawala au Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya Jamii na sayansi ya sanaa kutoka chuo cha Seri¬kali za Mitaa Hombolo Oodoma au chuo chochote kinachotam¬bulika na Serikali
• Awe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 40

Mshahara: Ngazi ya mshahara TGS B sawa na Tshs. 345,000 kwa mwezi.
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIWA NA WAOMBAJI WOTE WENYE SIFA NI JiAYA YAFUATAYO:
a. Maombi yote yapelekwe/yatumwe kwa; Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya
S,L.P.157
BUSEGA
b. Barua za maombi ziambatane na wasifu binafsi (CV) nakala ya vyeti vya Elimu, taaluma na cheti cha kuzaliwa. Vyeti vyote vithibitishwe na Hakimu au wakili wa Serikali.
c. Asiwe aliacha, kuachishwa au kufukuzwa kazi kwenye Utumishi wa Umma
d. Aambatishe picha moja aliyopiga hivi karibuni (Passport size) na iwe ya rangi
e. Walioajiriwa wapitishe barua zao kwa waajiri wao wa sasa
f. Barua zote ziandikwe kwa mkono zenye anwani ya mwombaji na namba ya simu kama ipo.
g. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 6 Mei, 2015
Imetolewa na
Mkurugenzi Mtendaji wilaya
S,L.P.157
BUSEGA
SOURCE; HABARI LEO 15TH APRIL 2015
=============

HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSEGA
TANGAZO LA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega kuomba nafasi zifuatazo:-

2; KATIBU MAHSUSI III - NAFASI 3
SIFA
• Awe na Elimu ya Kidato cha IV au VI Awe amehudhuria mafunzo ya Uhazili
• Awe amefaulu somo la Hati mkato kiingereza na Kiswahili maneno 80 kwa dakika moja
• Awe amehudhuria na kufaulu mafunzo ya kompyuta katika chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika program za Windows, Microsoft Office, Internet, E-mail na Pub-lisher.
Awe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 40
Mshahara: Ngazi ya mshahara TGS B sawa na Tshs. 345,000 kwa mwezi.

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIWA NA WAOMBAJI WOTE WENYE SIFA NI JiAYA YAFUATAYO:
a. Maombi yote yapelekwe/yatumwe kwa; Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya
S,L.P.157
BUSEGA
b. Barua za maombi ziambatane na wasifu binafsi (CV) nakala ya vyeti vya Elimu, taaluma na cheti cha kuzaliwa. Vyeti vyote vithibitishwe na Hakimu au wakili wa Serikali.
c. Asiwe aliacha, kuachishwa au kufukuzwa kazi kwenye Utumishi wa Umma
d. Aambatishe picha moja aliyopiga hivi karibuni (Passport size) na iwe ya rangi
e. Walioajiriwa wapitishe barua zao kwa waajiri wao wa sasa
f. Barua zote ziandikwe kwa mkono zenye anwani ya mwombaji na namba ya simu kama ipo.
g. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 6 Mei, 2015
Imetolewa na
Mkurugenzi Mtendaji wilaya
S,L.P.157
BUSEGA
SOURCE; HABARI LEO 15TH APRIL 2015
=============
HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSEGA
TANGAZO LA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega kuomba nafasi zifuatazo:-

3; MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU II - NAFASI 6

Sifa
• Awe na Elimu ya Kidato cha IV au VI
• Awe mwenye cheti cha Utunzaji Kumbukumbu katika mojawapo ya fani ya Afya, Mahakama, Masjala na Ardhi
• Awe amefaulu Mtihani wa Higher Records Management Awe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 40
Mshahara: Ngazi ya mshahara TGS B sawa na Tshs. 345,000 kwa mwezi

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIWA NA WAOMBAJI WOTE WENYE SIFA NI JiAYA YAFUATAYO:
a. Maombi yote yapelekwe/yatumwe kwa; Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya
S,L.P.157
BUSEGA
b. Barua za maombi ziambatane na wasifu binafsi (CV) nakala ya vyeti vya Elimu, taaluma na cheti cha kuzaliwa. Vyeti vyote vithibitishwe na Hakimu au wakili wa Serikali.
c. Asiwe aliacha, kuachishwa au kufukuzwa kazi kwenye Utumishi wa Umma
d. Aambatishe picha moja aliyopiga hivi karibuni (Passport size) na iwe ya rangi
e. Walioajiriwa wapitishe barua zao kwa waajiri wao wa sasa
f. Barua zote ziandikwe kwa mkono zenye anwani ya mwombaji na namba ya simu kama ipo.
g. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 6 Mei, 2015
Imetolewa na
Mkurugenzi Mtendaji wilaya
S,L.P.157
BUSEGA
SOURCE; HABARI LEO 15TH APRIL 2015

About Colman Mossile

Faizan is a 30 years old young guy who is blessed with the art of Blogging,He love to Blog day in and day out,He is a Website Designer and a Graphics Designer.

0 comments:

Post a Comment