JAMHURI YA MUNGAZO WA TANZANIA
TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA
TANGAZO LA NAFASI 560 ZA KAZI
Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwamujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011. Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na
majukumu.mengineinalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada mbalimbali wa Mahakama.
Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao wako tayari kufanya kazi katika Ofisi za Mahakama ya Tanzania ambazo ziko katika Mikoa na Wilaya nibalimbali kuleta maombi yao ya kazi.
Nafasi hizo ni Katibu Mahsusi Daraja la III - (TGS B) nafasi 220, Msaidizi wa Kumbukumbu
Daraja II - (TGS 8) nafasi 220 na Dereva Daraja II - (TGOS A) nafasi.120.
Nafasi hizi ni kwa ajiri ya Wilaya za Mikoa iliyoainishwa katika jedwali hapa chini
0 comments:
Post a Comment